Kiaiton

Kiaiton ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uhindi inayozungumzwa na Waaiton. Mwaka wa 2006, idadi ya wasemaji wa Kiaiton imehesabiwa kuwa watu 1500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiaiton iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search